Baada ya kuonyeshwa episode ya kwanza ya reality show ya wema sepetu (IN MY SHOE) iliyo anza kuonyeshwa 16.10.2013 EATV, kuna baadhi ya malalamiko yalijitokeza ,maandishi kua madogo, kupita kwa kasi,lugha anayo itumia zaid wakat wa kuongea na washabiki wasio kua na access ya EATV kama wanaweza kuangalia online. Na hii ndio responce ya manager wa Wema Sepetu, Martin Kadinda kuhusiana na malalamiko hayo
No comments:
Post a Comment