Monday 10 February 2014

WASANII WAKIKE NA VILENTINE'S DAY.

Valentine's day kama moja ya siku muhimu kwa watu wengi Duniani  imekua ikiwa na maana tofaut tofauti kwa watu. Kama ambavyo pia wasanii wetu wameweza kuitafsiri siku hiyo. 
 Mwasiti kama mmoja wa wasanii wa kike yeye ameweza kuielezea siku kama alivo kaririwa kuwa 

  "Ni siku nzuri kutumia muda  na wale wasiojiweza,wale waliowagonjwa pia"
 


Kwa upande wa "Agness wa masogange" yeye kwake valentine's day anaichukulia kama alivyo kaliririwa kuwa 
 
"mm naichukulia kawaida tu cz mm nampz wng tunapenda kila cku co mpk valentin"
AGNESS AKIWA NA LINAH


ELIZABETH MICHAEL.. Na VALENTINE'S DAY 

Yeye kasemaje??

"Me naziona kawaida tu...!maybe because I have never experienced anythng abt it...!lolšŸ˜‚" 

Kama kawaida ni vijimambo hahahahaah!



BATULI .... Na VALENTINE'S DAY

Kwa upande wake msanii wa filamu hapa nchini anae julikana lwa jina la Batuli yeye amekaririwa kuielezea siku hii kua

"To my side siitambui Valentine kabisa I'm muslim nasherehekea sikukuu zilizopo kwenye dini yngu tu. "

3 comments:

  1. officialmankammassy10 February 2014 at 21:18

    She always on point that's why i love her Kisses bawse ake

    ReplyDelete
  2. Batuli weeeh unaakili sana

    ReplyDelete
  3. I love this lady Batul uuuuh!!
    good looking na yuko ktk msitari kichwani.

    ReplyDelete