Wednesday, 12 February 2014

WEMA SEPETU NA VILENTINE'S DAY.

Wema Sepetu  kama msanii ameweza kuizungumzia Valentine's day kwa upande wake ... katika siku hiyo ame muelezea Diamond na watu wote anao wa penda amekaririwa akiielezea siku hii kua......................


"to me valentine's day is just a normal day, can mean a day to be loved for the loved ones sijui nini nini it doesn't make sense to me coz mimi kama mimi ,when it comes to me and my loved ones that means me and Diamond its like everyday is a valentine's day to us because everyday is very very special to us, But again every thing needs to have siku yake maalumu that's why we have Eid, Christmass but when it comes to Valentines' everyday is valentine ,though I love the day but every day is valentine's day to me."

9 comments:

  1. Chezeiya diamond and wema wewe,utalala hoi.love u guys very very much

    ReplyDelete
  2. Hahhaaha officiallllllll...mi penda ww sana weapo na bebako

    ReplyDelete
  3. YAANI NAWAPENDA SANA .THE BEST COUPLE IN TOWN,MUNGU WANGU AWASIMAMIE MFIKIE MALENGO YENU.AND U WEMADAILY NIAJE HIYO SHOW MPAKA LEO HAMJA UPLAD JAMNI?HAPO TU NDIO MNANICHOSHA KABISA NIKO SWEDEN NAFATILIA SANA ILA THIS TIME MNATAKIWA MBADILIKE PLS .TATIZO NINI JAMAA .MWAMBIENI HUYO BESTIZZO SIJUI AWESHAP BWANA,

    ReplyDelete
  4. plz wekeni basi hiyo episode jmn yaaan khaaaa mie navoipenda kila saa nachungulia youtube lakin holaaa

    ReplyDelete
  5. Mungu awafikishe mbali InshaAllah muweze kufanya lile linakubalika katika dini yetu. UKWELI MNAPENDEZA SANA.
    I WISH DIAMOND YOU DECIDE KILICHO BORA KWENU.

    ACHANA NA WAPAMBE!! ALWAYS WOMEN WE LOOK FOR PEACE OF MIND WE DON'T CARE ABOUT BEAUTY, MONEY OR ANY. IS JUST BEING HAPPY WITH SOME1 MAKES YOU......... THAT WAY.


    PENDANENI SANA TU NDIYO WAKATI WENU.
    KWELI PENZI LA KWELI HALIFI.

    HUSDA TU NA FITNA LAKINI WENYEWE AAAAAA.

    ReplyDelete
  6. Penda sana nyie

    ReplyDelete