Sunday, 27 October 2013

MZEE SEPETU AFARIKI DUNIA

Kipindi cha.nyuma Wema Sepetu aliweka picha ya baba yake instagram akiwa hospitalini akiomba maombi ya watanzania, kumuombea baba yake aliye kua anaumwa kipindi hicho.Taarifa zilizopo ni habari ya kufikwa na msiba wa baba mzazi wa Wema Sepetu. Salaam za pole zimetolewa.na watu mbali mbali wakiiomba familia hiyo kua na ujasiri



1 comment:

  1. My condorances to you and your family wema I know its the sadest moment u r facing but put god first

    ReplyDelete