Sunday 6 September 2015

Wema Sepetu Na Kampeni Za Siasa -Morogoro

Wema Sepetu katika kua mstari wa mbele kwenye siasa na kuonyesha kuipa ushirikiano Chama Cha Mapinduzi (CCM), alikua moja ya wasanii na makada walio jitokeza mkoani Morogoro akiongozana na kikundi chake na kikundi MAMA ONGEA NA MWANAO mkoani MOROGORO. Wemasepetu amekua mstari wa mbele akiongozana na wasanii wengi mahiri wa filamu za kitanzania wanao unda kikundi hicho cha Mama Ongea na Mwanao, na wamekua mstari wa mbele kumpigia kampeni MH. John Pombe Magufuli.

Tuesday 11 August 2015

INAYO SADIKIWA KUA JIBU KWA NUHU MZIWANDA.

Caption alivo andika Wema Sepetu ndio inayo sadikiwa kua Jibu Lake kwa Nuhu Mziwanda.uliiona?? 'Naitwa Wema Sepetu na ntabaki kuwa Wema Sepetu... Iam Number One... Sina muda wa kubishana na watoto...Nina muda wa kufanya kazi na kwa sasa jicho langu limeelekea kwa Wanyaturu wangu Singida na kwenye siasa yangu pamoja na kazi zangu za maana bila kusahau entertainment niliokuwa ninayo from 2006 ... Kumbe wakati mi nimelala nyie mnaandika Instagram... Ntapata dhambi kugombana na watoto wadogo-ambao nimewazidi sio pesa tu hadi dhambi pia nimewazidi.... Mstafute kick kupitia jina la Wema jamani... Jitume, amka, usibweteke, fanya kazi.... Umarioo mwisho Chalinze maana Dar wote tuna Hustle... Ama nene....' Wema Sepetu' But these are speculations! He wewe unahisi hili ni jibu??

Sunday 9 August 2015

Who dressed Wema Sepetu earlier today?? she looked too perfect

The beautiful Tanzanian Sweetheart Wema Sepetu was spotted earlier today looking absolutely stunning being dressed by Pugu Mall.

Friday 7 August 2015

Wema Sepetu at Jakaya Mrisho Kikwete Farewell Party

Wema Sepetu attended Jakaya Mrisho Kikwete's Farewell party ,the President of United republic of Tanzania.The beautiful Wema Sepetu Was dressed by MimiHouston1 store located at Dar Free Market
. The Party was held at Mlimani City Hall ,In Dar es salaam Tanzania.