Wednesday 12 February 2014

WEMA SEPETU NA VILENTINE'S DAY.

Wema Sepetu  kama msanii ameweza kuizungumzia Valentine's day kwa upande wake ... katika siku hiyo ame muelezea Diamond na watu wote anao wa penda amekaririwa akiielezea siku hii kua......................


"to me valentine's day is just a normal day, can mean a day to be loved for the loved ones sijui nini nini it doesn't make sense to me coz mimi kama mimi ,when it comes to me and my loved ones that means me and Diamond its like everyday is a valentine's day to us because everyday is very very special to us, But again every thing needs to have siku yake maalumu that's why we have Eid, Christmass but when it comes to Valentines' everyday is valentine ,though I love the day but every day is valentine's day to me."

Monday 10 February 2014

WASANII WAKIKE NA VILENTINE'S DAY.

Valentine's day kama moja ya siku muhimu kwa watu wengi Duniani  imekua ikiwa na maana tofaut tofauti kwa watu. Kama ambavyo pia wasanii wetu wameweza kuitafsiri siku hiyo. 
 Mwasiti kama mmoja wa wasanii wa kike yeye ameweza kuielezea siku kama alivo kaririwa kuwa 

  "Ni siku nzuri kutumia muda  na wale wasiojiweza,wale waliowagonjwa pia"
 


Kwa upande wa "Agness wa masogange" yeye kwake valentine's day anaichukulia kama alivyo kaliririwa kuwa 
 
"mm naichukulia kawaida tu cz mm nampz wng tunapenda kila cku co mpk valentin"
AGNESS AKIWA NA LINAH


ELIZABETH MICHAEL.. Na VALENTINE'S DAY 

Yeye kasemaje??

"Me naziona kawaida tu...!maybe because I have never experienced anythng abt it...!lol😂" 

Kama kawaida ni vijimambo hahahahaah!



BATULI .... Na VALENTINE'S DAY

Kwa upande wake msanii wa filamu hapa nchini anae julikana lwa jina la Batuli yeye amekaririwa kuielezea siku hii kua

"To my side siitambui Valentine kabisa I'm muslim nasherehekea sikukuu zilizopo kwenye dini yngu tu. "