Sunday, 27 October 2013

MZEE SEPETU AFARIKI DUNIA

Kipindi cha.nyuma Wema Sepetu aliweka picha ya baba yake instagram akiwa hospitalini akiomba maombi ya watanzania, kumuombea baba yake aliye kua anaumwa kipindi hicho.Taarifa zilizopo ni habari ya kufikwa na msiba wa baba mzazi wa Wema Sepetu. Salaam za pole zimetolewa.na watu mbali mbali wakiiomba familia hiyo kua na ujasiri



Friday, 25 October 2013

WEMA SEPETU KUTUNUKIWA TUZO

Wema Sepetu leo ametunukiwa Tuzo ya best actress ambaye ameendelea kusaidia vijana waigizaji katika industry ya filam nchini.Zawadi hiyo imetolewa na RAHABU MEDICAL Ubungo Plaza. Hongera za Dhati kwake na kwa wale wote watakao endelea kupokea tuzo hizo.

Wednesday, 23 October 2013

IN MY SHOE - EPISODE 1 SASA KUWEPO YOUTUBE

Episode ya kwanza ya reality show ya wema sepetu ambayo ni introduction/utambulisho na  maelezo yake 'who am i' sasa ipo youtube channel ya WemaSepetuOfficial. Ambayo tutajitaidi ku subscribe channel hiyo moja kwa moja uweze ku view kupitia kwenye hii blog.