Wednesday, 30 October 2013
Tuesday, 29 October 2013
Sunday, 27 October 2013
MZEE SEPETU AFARIKI DUNIA
Kipindi cha.nyuma Wema Sepetu aliweka picha ya baba yake instagram akiwa hospitalini akiomba maombi ya watanzania, kumuombea baba yake aliye kua anaumwa kipindi hicho.Taarifa zilizopo ni habari ya kufikwa na msiba wa baba mzazi wa Wema Sepetu. Salaam za pole zimetolewa.na watu mbali mbali wakiiomba familia hiyo kua na ujasiri
Friday, 25 October 2013
WEMA SEPETU KUTUNUKIWA TUZO
Wema Sepetu leo ametunukiwa Tuzo ya best actress ambaye ameendelea kusaidia vijana waigizaji katika industry ya filam nchini.Zawadi hiyo imetolewa na RAHABU MEDICAL Ubungo Plaza. Hongera za Dhati kwake na kwa wale wote watakao endelea kupokea tuzo hizo.
Thursday, 24 October 2013
Wednesday, 23 October 2013
IN MY SHOE - EPISODE 1 SASA KUWEPO YOUTUBE
Episode ya kwanza ya reality show ya wema sepetu ambayo ni introduction/utambulisho na maelezo yake 'who am i' sasa ipo youtube channel ya WemaSepetuOfficial. Ambayo tutajitaidi ku subscribe channel hiyo moja kwa moja uweze ku view kupitia kwenye hii blog.
Tuesday, 22 October 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)