Wema Sepetu katika kua mstari wa mbele kwenye siasa na kuonyesha kuipa ushirikiano Chama Cha Mapinduzi (CCM), alikua moja ya wasanii na makada walio jitokeza mkoani Morogoro akiongozana na kikundi chake na kikundi MAMA ONGEA NA MWANAO mkoani MOROGORO.
Wemasepetu amekua mstari wa mbele akiongozana na wasanii wengi mahiri wa filamu za kitanzania wanao unda kikundi hicho cha Mama Ongea na Mwanao, na wamekua mstari wa mbele kumpigia kampeni MH. John Pombe Magufuli.