Valentine's day kama moja ya siku muhimu kwa watu wengi Duniani imekua ikiwa na maana tofaut tofauti kwa watu. Kama ambavyo pia wasanii wetu wameweza kuitafsiri siku hiyo. Mwasiti kama mmoja wa wasanii wa kike yeye ameweza kuielezea siku kama alivo kaririwa kuwa
"Ni siku nzuri kutumia muda na wale wasiojiweza,wale waliowagonjwa pia"
Kwa upande wa "Agness wa masogange" yeye kwake valentine's day anaichukulia kama alivyo kaliririwa kuwa
"mm naichukulia kawaida tu cz mm nampz wng tunapenda kila cku co mpk valentin"
AGNESS AKIWA NA LINAH
ELIZABETH MICHAEL.. Na VALENTINE'S DAY
Yeye kasemaje??
"Me naziona kawaida tu...!maybe because I have never experienced anythng abt it...!lol😂"
Kama kawaida ni vijimambo hahahahaah!
BATULI .... Na VALENTINE'S DAY
Kwa upande wake msanii wa filamu hapa nchini anae julikana lwa jina la Batuli yeye amekaririwa kuielezea siku hii kua
"To my side siitambui Valentine kabisa I'm muslim nasherehekea sikukuu zilizopo kwenye dini yngu tu. "